Valencia ambayo inashiriki ligi kuu ya nchini Spain (La liga) club hiyo imekuwa na matakwa ya kumsajili Andre Gomes kutoka katika club ya Benifica, Usajili wa Andre Gomes ndiyo usajili wa kwanza kufanyika katika club ya Valencia kwa kipindi hiki cha usajili.
No comments:
Post a Comment