Friday, June 12, 2015

Sina raha yakuendelea kucheza Borussia Dortmund.

Midfielder wa club ya Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ujerumani, Ilkay Gundogan, amesema hana furaha ya kuendelea kucheza katika club hiyo.

Gundogan ambaye mkataba wake unaisha June 2016 akiwa Borussia Dortmund lakini iko wazi kuwa anaweza kuondoka Dortmund na kusajiliwa na club zingine.

Moja kati ya club ambazo zinataka kumsajili midfielder huyo wa Borussia Dortmund ni club ya Manchester United ambayo imeka wazi kuwa wanawania saini ya mchezaji huyo kutoka Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani.



No comments:

Post a Comment