Tuesday, June 16, 2015

VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI NCHINI UINGEREZA VINAVYOHUSU USAJILI

Leo tarehe 16 June 2015 nimekuwekea na ninakuletea vichwa vya habari vya magazeti zinazohusu usajili wa wachezaji balayi ulaya.

Chelsea inaweza ikacheza mechi zake nyngi katika uwanja wa ugenini kwa muda wa misimu miwili kama sehemu ya kuongeza idadi ya watazamaji kufikia 60,000 (Gurdian), Manager wa Juventus, Massimiliano Allegri amesem itakuwa vigumu kukataa dau kubwa litakalo wekwa na vilabu vinavyomtaka kiungo Paul Pogba ambaye anahusishwa kutakiwa na Chelsea, Manchester United na Manchester United (Gazzeta dello Sport), Mshambuliaji Harry Kane ameshauriwa na Fabrice Muamba aachane na kutaka kusajiliwa na Manchester United na abaki zake Tottenham hotspurs (Express), Monaco wanawataka viungo wa Chelsea kwa mkopo Mario Pasalic na Charly Musonda kama sehemu ya mkataba wa Chelsea kumchukua Radamel Falcao kwa mkopo (Telegraph), Kocha wa makipa wa Chelsea anaamini kuwa Peter Cech anataka kwenda katika club ya Arsenal (Mirror) Liverpool wataongeza dau lakutaka kumsajili beki wa Southhampton Nathaniel Clyne baada ya dau la paundi milioni 10 kukataliwa na club hiyo (Liverpool Echo).

Manchester United yatakiwa kutoa paundi milioni 35 kama wanataka kumsajili beki wa Valencia, Nicolas Otamendi (Mirror), Everton wanakaribia kumsajili winga wa Barcelona, Gerrard Deulofeu (Star), Liverpool wanweza wakamsajili beki wa club ya Charlton, Joe Gomes ilikuziba pengo la Sebastian Coates ambaye anakwenda katika club ya Sunderland (Gurdian), Tottenham wanakaribia kumsajili beki wa club ya Burnley Kieran Tripper huku vilabu vya Liverpool, Newcastle United, Westham na club ya Bournemouth zikimtaka Kieran Tripper kutoka katika club ya Burnley (Mail).

Na hivi ndivyo vichwa vya habari za magazeti wakizungumzia mchakato wa usajili balani ulaya leo tarehe 16 June 2015.






No comments:

Post a Comment