Kwa msimu uliomalizika vilabu hivi vikubwa nchini Italy na hata kwa bala la ulaya, vilabu hivi havikuwa na msimu mzuri katika ligi kuu nchini Italy baada ya kuweza kumaliza ligi katika nafasi mbaya. Club ya AC milan yenyewe haikuwa na msimu mzuri kwasababu ya matatizo mbalimbali yaliyoikumba club hiyo.
Mbali na hayo, mchezaji wa club ya AC Milan, Stephan El Shaarawy amesema kwamba anahitaji kuondoka katika club hiyo na hivyo kwenda kutafuta club niyngine ya kucheza.
No comments:
Post a Comment