Thursday, July 16, 2015

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kwamba hakuna haja ya kuziba pengo la Raheem Steling


Brendan Rodgers ameliembai gazeti moja nchini Uingereza kuwa klabu yake ya Liverpool haina haja ya kufanya usajili wa winga wakujakuziba nafasi ya Raheem Sterling aliyehamia katika klabu ya Manchester City kwa ada ya paundi milioni 49.5 ambapo imeelezwa kuwa ndiyo usajili mkubwa uliofanyika katika dirisha la usajili la msimu huu.



Akizungumza na gazeti la "Insisted on Monday" Brendan Rodgers alisema "Liverpool haina haja yakumsajili mchezaji mwingine kuja kuziba nafasi ya Raheem sterling aliyesajiliwa na Manchester United" alisema Rodgers,
Brendan Rodgers aliendelea kwa kusisitizia kwamba uhusiano wake na wachezaji wa kimataifa wa Uingereza umeendelea kuwa mzuri, licha ya kuripotiwa kuwa uhusiano wake uliweza kushuka na kuweza kufanya vibaya msimu ulopita.

Kocha Brendan Rodgers alikataa kuendelea kufanya usajili kabla dirisha la usajili kufungwa mwezi wa Septemba , licha ya kupendekeza kwamba kungekuwa na utashi katika kufuatia kuuzwa kwa Raheem Sterling.
Brendan Rodgers aliendelea kwa kusema "Tumesajili idadi kubwa ya wachezaji wazuri katka klabu yetu, na kama ukiongezea kwa hilo kwa tulichonacho utaona kuwa tupo vizuri sana" alisema

Uhusiano wa Raheem Sterling na klabu ya Liverpool ulikuja kuwa mbaya katika siku za mwisho wakati Sterling akiwa Liverpool pamoja na wachezaji kuweza kuripoti katika klabu na kwenda kuweka kambi nchini Australia lakini Raheem Sterling hakutaka kujiunga na klabu, hata hivyo, vilevile Rodgers alisema kuwa hakuna mchezaji atakaye kuja kuziba nafasi ya Sterling.

Alisema Rodgers "kulikuwa na ripoti nyingi sana kuhusu mimi na Raheem Sterling kuwa hatuongei na hata kuwa na mahusiano mabaya na Sterling, hakuna kinachoweza kuwa zaidi ya ukweli, Sterling ni mtoto mdogo mwenye kipaji, nilimuweka katika timu miaka 17 iliyopita kwa kweli Raheem Sterling anakipaji cha kipekee" alisema Rodgers wakati akifanya mahojiano na gazeti la "Insisted on Monday"

No comments:

Post a Comment