Club ya Azam Fc imesema kwamba kama Simba Sports Club inamtaka beki wa timu hiyo, David Mwantika basi iwasilishe vielelezo vya kumsajili beki huyo wa Azam Fc.
Simba imekuwa ikimtamani sana beki huyo wa Azam Fc na hivyo wanatakiwa wapeleke vithibisho (Documents) za kutaka kumsajili David Mwantika.
No comments:
Post a Comment