Friday, June 12, 2015

Yohan Cabaye ataka kuondoka Paris saint German (PSG).

Mchezaji wa club ya Paris Saint German ambaye alisajiliwa na club ya Newcastle United na baadaye akarudi katika club ya PSG.

Yohan Cabaye amesema kuwa hadhani kama ataendelea kuabaki PSG kwa msimu ujao na hivyo anahitaji kuondoka Paris Saint German, Yohan Cabaye amesadikika kutajwa na uvumi wa kujiunga na club ya Crystal Palace ambayo inaongozwa na Allen Pardew aliyekuwa kocha mkuu wa zamani wa Newcastle United.

Allen Pardew hakusita kusema kuwa yupo tayari kumsajili Yohan Cabaye kutoka katika club ya Paris Saint German.

No comments:

Post a Comment