Monday, June 8, 2015

Buffon ataka miaka mitatu ya kuendelea kucheza soccer

Goli kipa wa timu ya Juventus. Buffon, amesema kwamba bado anataka muda zaidi kuweza kuendelea kucheza mpira. Buffon amsema maneno hayo baada ya kumalizika fainali ya champions league iliyofanyika juzi siku ya jumamosi tarehe 6 june, ambapo Barcelona waliweza kuibuka kuwa mabingwa wapya kwa mwaka wa 2015 na Juventus waliweza kupoteza nafasi hiyo ya kuwa mabingwa wa ligi ya mabingwa balani ulaya. baada ya mchezo huo mkali kumalizika katika mkutano na wandishi wa habari ( Press conference) Buffon alisema kuwa bado atendelea kucheza soccer kwa miaka mitatu ijayo licha ya kwamba umri umemtupa mkono na hivyo watu wengi walitegemea baada ya fainali ya mabingwa basi Buffon angiweza kutangaza kuachana na maswala ya soccer.

No comments:

Post a Comment