Mshambuliaji hatari wa club ya Juventus, Alvaro Morata, amesema kwamba bado kuna safari ya matumaini akiwa katika club ya Juventus. Juventus ambao ni mabingwa wa ligi kuu nchini Italy ( Serie A) vilevile wameweza kuingia fainali ya mabingwa balani ulaya kwa mara ya tisa lakini wakiambulia patupu. Alvaro Morata amesikika akisema kwamba bado kuna matumaini mazuri ya baadaye kutoka katika club ya Juventus.
No comments:
Post a Comment