Thursday, July 16, 2015
Klabu ya Liverpool yaweka paundi milioni 32.5 kwaajili ya kumsajili Christian Benteke
Majogoo wa jiji la Liverpool nchini Unigereza wapo tayari kuweza kutumia kiasi cha paundi milioni 80 kwaaajili ya kufanya usajili wa ligi kuu nchini Uingereza alimaarufa kama EPL, Liverpool ipo tayari kutoa zaidi ya paundi miloni 80 kwaajili ya kununua sehemu ya mkataba wa mshambuliaji wa Aston Villa, Christian Benteke.
Kwasasa klabu ya Liverpool imeweza kutangaza dau la paundi milioni 32.5 kwa kumtaka Benteke, lakini bado majogoo hao wa Liverpool wanaendelea na mazungumzo na maafisa wa klabu ya Aston Villa kuona kama Aston Villa watakubali ada hiyo ya uhamishoo au namna gani vipi. Bado wapo katika mazungumzo ya kumchuka Benteke kutoka Aston Villa.
Brendan Rodgers amekuwa akivutiwa sana na mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Ubeligiji na kuweza kutizamia uhamisho wake msimu huu, Lakini hakuweza kumsajili mchezaji huyo waAston Villa kutokana na jeraha lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu sana na hivyo kumsababishia kutokuwa na uwezao wa kushiriki michuano ya kombe la mabingwa barani ulaya "Champions League"
Christian Benteke amekuwa kwa upande wa kocha Brendan Rodgers kwa muda mrefu sana kutaka kumsajili mchezaji huyo, lakini kama Benteke atakubali kwenda liverpool basi Benteke atakuwa mshambuliaji wa mbele "Frontline Striker" ambaye atakuwa katika nafasi hiyo kwa msimu mzima indapo tu Benteke akikubali kwenda Anfield.
Mpaka sasa Liverpool imeshasajili achezaji sita (6) akiwamo beki wa kulia wa Uingereza Nathaniel Clyne kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 12.5 akitokea Southampton lakini pia kuongezwa kwa Roberto Firmino utamshawishi Christian Benteke kuweza kwenda kujiunga na majogoo hao wa Liverpool na Liverpool kuweza kumaliza msimu kati ya moja ya nafasi za juu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hello
ReplyDelete