Katika tuzo hizo ambazo ziliudhuliwa na wadau mbalimbali wa mpira wa miguu nchini akiwamo mkuu wa masoko na mawasiliano wa vodacom, Kelvin Twissa pamoja na raisi wa shilrikisho la mpira wa miggu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na wengine wengi ambao ni wadau wa soccer nchini.
Kwa utoaji wa tuzo ni kama ifuatavyo. Tuzo ya mchezaji bora amechukua Simon Msuva kutoka katika club ya Yanga Sports Club lakini pia Simon Msuva alichukua tena tuzo ya pili ya mfunngaji bora wa ligi kuu. Tuzo ya golikipa bora alipewa Shabani Kado wa Coastal Union na tuzo ya timu yenye nidgamu ilkwenda katika club ya Mtibwa Sugar.
Zifuatazo ni picha za utoaji tuzo hizo za vodacom premier league kwa mwaka wa 2015.
No comments:
Post a Comment