Friday, June 12, 2015

Memphis Depay atua rasmi katika club ya Manchester United.

Club ya Manchester United imemaliza harakati za usajili za mchezaji wa PSV ya nchini Uholanzi. Manchester United ilitia nia mapema kuwa wanamuhita Memphis Depay kutoka katika club ya PSV.

Memphis Depay ambaye alikuwa akiichezea club ya PSV na timu ya taifa ya Uholanzi kwa sasa atakuwa akicheza katika club ya Manchester United ya nchini Uingereza.

Memphis Depay ambaye amesainiwa na Manchester United hii leo akiwa na Manager wa Manchester Umnited Luis Van Ghal (LVG).




No comments:

Post a Comment