Thursday, June 11, 2015

Paris Saint German yatakakumsajili Carlos Tevez.

Paris Saint German ya nchini Ufaransa ipo tayari kuweka pesa mezani kwaajili yakusaini mchezaji wa Juventus, Carlos Tevez, PSG ambao ni mabingwa wa ligi ya Ufaransa alimaarufu kama France League 1.
Paris Saint German imethibitisha hilo kupitia ukurasa wao wa twitter kwamba wanamtaka Carlos Tevez. Carlos Tevez ambaye ameweza kufanya vizuri akiwa katika club ya Juventus kwa kuweza kuiwezesha club hiyo kuwa mabingwa wa ligi kuu ya Italy (Serie A) na vilevile kuweza kuifikisha club ya Juventus katika fainali za mabingwa wa bala la ulaya ( UEFA Champions League) ambapo walicheza fainali na club ya Barcelona ya nchini Spain.

No comments:

Post a Comment