Wakala wa mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema amesema kwamba mshambuliaji huyo hatari wa club ya real madrid hataondoka real madrid na kwenda katika vilabu vingine balani ulaya ambavyo vimekuwa vikimtaka mshambuliaji huyo. Kwa tetesi za usajili ilionekana kama Karim Benzema angeondoka Real Madrid basi angenda katika Club ya Manchester United ambayo ulikuwa mbioni kuweza kumnyaka mshambuliaji huoy tegemezi wa real madrid, kwahiyo kwa taarifa zilizotolewa na wakala wa Kareem Benzema ni kwamba hataondoka kilabuni hapo (Real Madrid)
No comments:
Post a Comment