Manchester United wamesitisha offer yao yakumnyaka beki wa Barcelona, Dan Alve, hio ni baada offer kutoka Ac milan ya Italy kuweka offer kubwa zaidi ya mashetani wekundu (Manchester United) lakini bado offer hiyo ya AC milan haijakuwa thibitishwa na Barcelona. endapo itathibitishwa basi beki huyo wa barcelona ataelekea katika clb ya AC Milan ya nchini Italy.
No comments:
Post a Comment