Friday, June 5, 2015

Inawezekana Higuan akenda Asernal.


Tetesi mbalimbali za usajili zinazungumza kuwa mshambuliaji wa timu ya Napoli ya nchini Italy Gonzalo Higuan anaweza kuahamia katika club ya Arsenal kwa msimu ujao.

No comments:

Post a Comment