Friday, June 5, 2015

Pual Pogba inawezekana akasjiliwa na Barcelona.


Kiungo wa club ya Juventus, Paul Pogba ataichezea club ya barcelona kwa msimu ujao baada ya dau lilowekwa mezani na barcelona.kiungo huyo ambaye filabu vingi balani ulaya vilikuwa vikimta kuweza kucheza katika vilabu hivyo ikiwemo Real Madrid, Manchester United, Chelsea pamoja na Manchester City vilabu hivi vyote vilikuwa mbioni kuweza kumnasa kiungo huyo wa Juventus lakini bahati hakuwa kwa vilabu hivyo na hatimaye club ya barcelona imeweza kumnyaka kiungo huyo na hivyo Paul Pogba ataichezea FC barcelona kwa msimu unofuata.

No comments:

Post a Comment