Tuesday, June 9, 2015

Sweden yatoka sare ya mabao 3-3 dhidi ya Nageria.

Katika fainali za kombe la dunia kwa upande wa wanawake linaloendelea ambapo mechi mbalimbali zimeshachezwa na timu zinzoshiriki kombe hilo la dunia kwa wanawake. moja kati ya mechi ambayo ilikuwa nzuri sana kuingalia ilikuwa kati ya Sweden dhidi ya Nigeria ambapo mechi hii ilichezwa jana tarehe 8 june. Mechi hio ilianza kwa wepesi zaidi kwa upande wa timu ya taifa ya wanawake ya Sweden baada ya kuwa mbele kwa mabao 2-0 katika kipindi cha kwanza. lakini mpaka dakika za mwisho mpira ulimazika kwa mabao 3-3.






No comments:

Post a Comment