Club ya Azam Fc imesema kuwa haina mpango wa kuwauza wachezaji wao wa kimataifa. wachezaji hao ambao ni Kipre Cheche, Kipre Balou, Pascal Wawa (wote wakitokea Ivory coast) Kavumbagu ( Burundi) pamoja na Pascal Majegwa (Unganda) wachezaji hao ambao walisajiliwa na club ya Azam Fc hawatauzwa kwenda kwenye vilabu vingine vinavyo shiriki ligi kuu Tanzania na hata kuuzwa nje ya mipaka ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment