Wakala wa mchezaji wa club ya Paris saint German, Zlatan Ibrahimovic, amesema kwamba Zlatan hataondoka katoka club ya PSG inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa. Wakala wa Zlatan, Mino Raiola amesema maneno hayo baada ya kuona vilabu vingi balani ulaya vikimtolea macho ya kutakakumsajili mchezaji huyo, kati ya vilabu ambavyo vilikuwa mbioni kumwania Zlatani Ibrahamovic ni club ya Arsenal ya nchini Uingereza ambao wao waliweka dau kubwa mezani ili kuweza kumpata Zlatan Ibrahimovic lakini Mino Raiola ambaye ni wakala wa Zlatan akesema kwamba mchezaji huyo wa Paris Saint German (PSG) hataondoka kwenda kilabu chochote balani ulaya na hivyo Zlatan Ibrahimovic ataendelea kucheza katika club ya PSG kwa msimu ujao wa 2015/2016.
No comments:
Post a Comment