Swansea City imemsajili mchezaji wa club ya Olympic Massie, Andre Ayew, mchezaji huyo ambaye ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ghana.
club ya Swansea City imethibitisha hilo kupitia ukurasa wao wa twitter, Andre Ayew ndie mchezaji wa kwanza kusajiliwa na club ya Swansea City katika dirisha la usajili la msimu huu.
No comments:
Post a Comment