Thursday, June 11, 2015

Mourinho: "Nitawaonesheni Falcao wa ukweli"

Manager wa Chelsea Fc amesema kwamba iwapo club ya Chelsea itamsajili striker wa Colombia ambaye alikuwa akicheza Manchester United kwa mkopo, Radamel Falcao, akitokea katika club ya Monaco ya Ufaransa.

Radamel Falcao tangu asajiliwe na Manchester United hakuwa katika form nzuri yakucheza katika club ya Manchester United nakumfanya kutokufanya vizuri akiwa katika timu hiyo. Jose Mourinho amesema kwamba endapo club ya Chelsea itamsajili Falcao basi Mourinho atamrudisha Radamel Falcao katika kiwango chake kama alivyokuwa katika club ya Atletico Madrid ambapo ndipo alipo tokea na kusajiliwa na club ya Monaco na kuenda Manchester United kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment