Thursday, June 11, 2015

Mamadou Sakho "Nitakuwa vizuri Liverpool kwa msimu ujao"

Beki wa katikati wa Liverpool amesema kuwa atakuwa na msimu mzuri akiwa Liverpool kwa msimu ujao. Mamadou Sakho ambaye alisajiliwa na club ya Liverpool akitokea Paris Saint German (PSG) kwa paundi milioni 15 mwaka 2013.

Tangu asajiliwe na liverpool amekuwa katika kiwango kibovu kutokana na jelaha linalomsumbua kwa muda mrefu. Sakho masema kuwa hasumbuliwi tena na jelaha na hivyo yupo vizuru kwa msimu unaofuata, beki huyo ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa alisema maneno hayo baada ya mechi ya kirafiki kati ya Ufaransa dhidi Ireland.


No comments:

Post a Comment