Thursday, June 11, 2015

Shabani Kado achukua tuzo ya golikipa bora katika tuzo za Vodacom premier League.

Tuzo za Vodacom premier League zimetolewa hii leo huku wachezaji wa timu zilizoshiki ligi kuu wakipewa zawadi zao.

Golikipa Shabani Kado yeye amechua tuzo ya golikipa bora kwa msimu uliomalizika. tuzo hiyo ambayo ilitolewa na Naibu Waziri wa habari, Michezo na Utamaduni, Juma Nkamia kama unavyoona hapo katika picha Shabani Kado akipokea tuzo yake.


No comments:

Post a Comment