McClaren ambaye amechukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa club hiyo, John Carver ambaye alitumuliwa na club ya Newcastle United na nafasi yake kuchukuliwa na Steve McClaren ambaye alitangazwa kuwa manager mpya wa Newcastle United kwa msimu ujao.
McClaren amesema kwamba mchezaji ambaye anawania kumsajili ni Charlie Austin wa club ya Queens Park Rangers, licha ya kwamba club ya Chelsea nayo pia imekuwa ikmnyemelea mchezaji huyo kutoka QPR lakini manager McClaren amesema yupo tayari kumsajili mchezaji huyo kutoka QPR,
No comments:
Post a Comment