Mchezaji wa Everton, Phil Jagielka ameongeza mkataba wake wa mwaka mmoja katika club hiyo ya Everton.
Mkataba mpya wa Phil Jagielka etafika mwisho mwa mwaka wa 2018 ambapo Jagielka atabaki Everton hadi mwaka wa 2018.
Club ya Everton imetoa taarifa hizo kupitia mtandao wa twitter kwa kutoa taarifa ya kuwa Phil Jagielka ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wakuendelea kuichezea Everton kwa misimu mitatu akiwa Everton mpaka pale mkataba wake utakapomalizika.
No comments:
Post a Comment