Monday, June 29, 2015

Peter Cech Awasiri rasmi katika klabu ya Arsenal.






Aliyekuwa golikipa wa Chelsea Peter Cech awasiri rasmi katika klabu ya Arsenal baada ya kusajiliwa na klabu hiyo akiwa anatokea Chelsea. Peter Cech ambaye amekuwa mlinda mlango wa klabu ya chelsea kwa muda mrefu tangu asjiliwe na Chelsea mwaka 2004 ambapo alisajiliwa na klabu hiyo na kuweza kuichezea Chelsea kwa misimu 11 na kuweza kushinda mataji 13 akiwa na klabu ya Chelsea lakini kwa sasa Peter Cech atakuwa akitumikia klabu ya Arsenal.

Cech amekuwa mlinda mlango mwenye mafanikio makubwa na klabu anazokuwa akizitumikia na hivyo kufanya mafanikio makubwa katika klabu anayoitumikia, Usajili wa Peter Cech uliweza kuumiza vichwa vya habari katika magazeti mengi ya michezo kwa bala la ulaya huku kukiwa na uvumi kuwa mlinda mlango huyo hatokwenda Arsenal lakini hatimaye hayawi hayawi sasa yamekuwa Peter Cech atua rasmi katika klabu ya Arsenal.

No comments:

Post a Comment