Monday, June 8, 2015
''Nina ndonto ya kucheza soccer Ulaya"
Mchezaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta, alisajiliwa na club hiyo mwaka 2011 akitokea katika club ya Simba sports club. Mbwana Samatta ameichezea TP Mazembe kwa takribani miaka nne, tangu Mbwana Samatta asajiliwe na TP mazembe bado amekuwa na ndoto ya kucheza soccer balani ulaya. kwa bahati nzuri Mbwana Samatta ameshawahi kufanya majaribio ( trial) katika club ya CSKA Moscow ya nchini Urusi lakini hakuweza kufanikiwa kuweza kucheza katika club hiyo. licha ya kutokupata nafasi ya kusajiliwa na club ya CSKA Moscow bado Mbwana Samatta anayo ndoto ya kusakata soccer katika bala la ulaya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment