Monday, June 8, 2015

Dortmund yamsajili Julian weigl

Dortmund imemsajili winga chipukizi katika ligi ya ujerumani ( Bundasiliga) winga huyo amesajiliwa na Dortmund kwaajili ya msimu ujao. Julian Weigl ana miaka 20 ataichezea club ya Dortmund.

No comments:

Post a Comment