Brazil ambayo inaongozwa na mchezaji wa club ya Barcelona, Neymar Junior Da Santos ambaye ameingoza timu ya taifa ya Brazili katika fainali hizo za Copa America za 2015. ikiwa ni karata ya kwanza ya Brazil dhidi ya Peru na katika mchezo huo Brazil iliwezakuibuka na ushindi wa 2-1, ilikuwa ni timu ya taifa ya Peru kupata bao kunako dakika za mwanzo za mchezo ambapo goli la Peru lilifungwa katika dakika ya tatu (3) lakini bao hilo halikudumu kwa muda mrefu ndipo kunako dakika ya tano (5) Neymar Jr da Santos aliipatia bao Brazil na bao la pili la Brazili lilifungwa katika dakika ya 90 bao likifungwa na Douglas Costa na mpaka dakika ya mwisho mchezo kumalizika kwa Brazil kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Peru.
Sunday, June 14, 2015
Neymar Jr aingoza Brazil dhidi ya Peru.
Copa America 2015 ambayo yanafanyika nchini Chile huku mechi kadhaa zikiwazimesha chezwa katika makundi. Katika fainali hizo za Copa America ambapo jana timu ya taifa ya Brazili ilitupa karata yake ya kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Peru huku Colombia walivaana na Venezuela.
Brazil ambayo inaongozwa na mchezaji wa club ya Barcelona, Neymar Junior Da Santos ambaye ameingoza timu ya taifa ya Brazili katika fainali hizo za Copa America za 2015. ikiwa ni karata ya kwanza ya Brazil dhidi ya Peru na katika mchezo huo Brazil iliwezakuibuka na ushindi wa 2-1, ilikuwa ni timu ya taifa ya Peru kupata bao kunako dakika za mwanzo za mchezo ambapo goli la Peru lilifungwa katika dakika ya tatu (3) lakini bao hilo halikudumu kwa muda mrefu ndipo kunako dakika ya tano (5) Neymar Jr da Santos aliipatia bao Brazil na bao la pili la Brazili lilifungwa katika dakika ya 90 bao likifungwa na Douglas Costa na mpaka dakika ya mwisho mchezo kumalizika kwa Brazil kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Peru.
Brazil ambayo inaongozwa na mchezaji wa club ya Barcelona, Neymar Junior Da Santos ambaye ameingoza timu ya taifa ya Brazili katika fainali hizo za Copa America za 2015. ikiwa ni karata ya kwanza ya Brazil dhidi ya Peru na katika mchezo huo Brazil iliwezakuibuka na ushindi wa 2-1, ilikuwa ni timu ya taifa ya Peru kupata bao kunako dakika za mwanzo za mchezo ambapo goli la Peru lilifungwa katika dakika ya tatu (3) lakini bao hilo halikudumu kwa muda mrefu ndipo kunako dakika ya tano (5) Neymar Jr da Santos aliipatia bao Brazil na bao la pili la Brazili lilifungwa katika dakika ya 90 bao likifungwa na Douglas Costa na mpaka dakika ya mwisho mchezo kumalizika kwa Brazil kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Peru.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment