Monday, June 8, 2015

Liverpool imemsajili Danny Ings

Majogo wa jiji la Liverpool wamemsajili mchezaji wa Astone Villa, Danny Ings. Liverpool wamethibisha hayo baada ya winga hatari wa liverpool, Raheem Sterling anaondoka katika club ya Liverpool na hivyo inawalazimu kuweza kusajili wachezaji wengine ndani ya club.

No comments:

Post a Comment