Licha ya kuwa ligi mbalimbali zimefikia ukingoni bado harakati za kuweza kusajili wachezaji bado zinaendelea na ambapo huko nchini hispania bado hekaheka za usajili zintimua vumbi.
kwa sasa usajili unaosikika nchini humo ni wa mshambuliaji Sevilla, Alexis Vidal, ambaye atakiwa na mabingwa wa ligi hiyo ( Barcelona) club ya Barcelona tayari imepeleka offer yake katika club ya Sevilla ili kuweza kumpata Alexis Vidal.
No comments:
Post a Comment