Manchester City wajitokeza tena kwa mara ya tatu kutakumsajili Raheem Sterling wa club ya Liverpool baada ya offer mbili walizo zitoa hapo awali kukataliwa na Liverpool.
Sasa hivi Manchester City wamejitokeza tena na offer ya paundi milioni 45 yakumsajili Raheem Sterling huku Manchester City wakisema hii ndiyo offer yao ya mwisho kuitoa kwenda kwa Liverpool ni wajibu wa Liverpool kuikubali au kukataa offer hiyo iliyotolewa na Manchester City.
Manchester City wamekuwa wakionekana na hela nyingi baada ya dau la paundi milioni 30 na dau la pili la paundi milioni 35 kukataliwa na Liverpool, Lakini Manchester City bado inaamini offer yao ya paundi milioni 45 itakubaliwa na Liverpool na kuweza kumsajili Raheem Sterling.
No comments:
Post a Comment