Kocha wa culb ya Barcelona, Luis Enrique amekubali dili lilotelewa na club hiyo yakumungezea mkataba mpya wakubaki Barcelona kwa miaka miwili. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 ataendelea kuinoa club ya Barcelona, Luis Enrique ameongezewa mkataba na Barcelona baada ya kuweza kufanikisha timu hiyo inachukua vikombe vitatu ( treble) ndani ya msimu mmoja ambapo mataji waliochukua kwa msimu huu ni pamoja na ubingwa wa ligi kuu ya nchini hispania ( La Liga), kombe la Mfalme ( Copa De Ley) na ubingwa wa ligi ya mabingwa balani ulaya ( UEFA champions League) club ya Barcelona imeweza kutwaa mataji hayo matatu katika msimu huu uliomalizika na hivyo kocha wa timu hiyo kuongezewa mkataba wa miaka miwili.
No comments:
Post a Comment