Monday, June 8, 2015

Aleix Vidal awasili katika club ya Barcelona.

Mchezaji wa Sevilla, Alexis Vidal, ameshawasili katika club ya Barcelona, akiwa katika uwanja wa nou camp Vidal aliweza kuonyesha uwezo wake uwanjani.

No comments:

Post a Comment