Manchester City imekatiliwa na Liverpool kwa offer walioitoa kwaajili yakumsajili Raheem Sterling. Ikiwa ni offer ya pili iliyotolew na Manchester City baada ya ile ya kwanza kukataliwa.
Manchester City ambayo imekuwa ikataka kumsajili Raheem Sterling kutoka Liverpool kwa offer ya paundi milioni 25 kukataliwa na Liverpool. Club ya Liverpool imeiambia club ya Manchester City kama kweli wanamuhitaji Raheem Sterling basi waongeze offer kubwa ili wamchukue winga huyo wa Liverpool.
No comments:
Post a Comment