Hamis Mcha ataikosa michuano ya Kagame Cup kwa sababu ya kuwa na jeraha la mguu ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda mrefu, kwasas Hamisi Mcha amefungwa bandeji (P.O.P) kwenye mguu wake wa kushoto baada ya kupata jeraha la mguu wa kushoto, hivyo Mcha apewa mwezi mmoja wa kukaa nje ya uwanja na atakosa mashindano ya Kagame Cup.
Kwa muujibu wa daktari wa Azam FC amesema kwamba ili Mcha apone na kurudi uwanjani inabidi akae nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja.
No comments:
Post a Comment