Fixture ya English Premier League ilitangazwa leo tarehe 17 june majira ya saa 3 asubuhi kwa saa za Afrika mashariki. Fixture hiyo ambayo pia inaonyesha timu ambazo zimepanda daraja msimu huu ambazo ni Watford FC, Norwich City na AFC Bounermouth ndizo zilizopanda daraja msimu huu.
Hizi ndiyo Fixture ya mechi za mwanzo wa ligi kuu nchini Uingereza itakayoanza kutimua vumbi katika mwezi wa August 2015.
No comments:
Post a Comment