Azam Fc imeanza mazoezi yake rasmi ili kujiandaa na michuano mbalimbali inayokaribia kuanza hivi karibuni ikiwamo michuano ya Kagame Cup ambayo ipo karibu kutimua vumbi. Kocha Stewat Hall amesema kwamba mwaka huu lazima kieleweke katika club ya Azam kwa kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ambayo Azm Fc inashiriki hasa michuano ya kombe la ushiriki balani Afrika ambapo Azam watakuwa wakishiriki michuano hiyo.
Wednesday, June 17, 2015
Azam Fc imeanza mazoezi rasmi Leo.
Club ya Azam Fc imeananza mazoezi rasmi hii leo katika uwanja wake wa nyumbani uliopo chamanzi nje kidogo na jiji la Dar es Salaam. Azam Fc ambayo kwa sas inongozwa na kocha Stewart Hall ambaye amerejea tena akatika club hiyo baada ya Mcameroon Joseph Omog kutimuliwa kaikta club hiyo ya Azam.
Azam Fc imeanza mazoezi yake rasmi ili kujiandaa na michuano mbalimbali inayokaribia kuanza hivi karibuni ikiwamo michuano ya Kagame Cup ambayo ipo karibu kutimua vumbi. Kocha Stewat Hall amesema kwamba mwaka huu lazima kieleweke katika club ya Azam kwa kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ambayo Azm Fc inashiriki hasa michuano ya kombe la ushiriki balani Afrika ambapo Azam watakuwa wakishiriki michuano hiyo.
Azam Fc imeanza mazoezi yake rasmi ili kujiandaa na michuano mbalimbali inayokaribia kuanza hivi karibuni ikiwamo michuano ya Kagame Cup ambayo ipo karibu kutimua vumbi. Kocha Stewat Hall amesema kwamba mwaka huu lazima kieleweke katika club ya Azam kwa kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ambayo Azm Fc inashiriki hasa michuano ya kombe la ushiriki balani Afrika ambapo Azam watakuwa wakishiriki michuano hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment