Thursday, June 18, 2015

Borrusia M'gladbach imemsajili Josip Drmic kutoka Bayern Leverkusen.

Borrusia M'gladbach ya Ujerumani imemsajili mchezaji wa club ya Bayern Leverkusen, Josip Drmic anayekwenda kujiunga na club ya Borrusia M'gladbach.

M'gladbach ambayo iliweza kufanya vizuri sana katika ligi ya Bundasiliga kwa msimu uliomaliza ambapo walibaki katika nafasi ya tatu huku nafasi ya pili ikishikiriwa na club ya Wolfburg FC.
Josip Drmic amesajiliwa na Borrusia M'gladbach kwa dau la paundi milioni 18 akitokea Bayern Leverkusen.

No comments:

Post a Comment