Taifa stars imeendelea na mazoezi katika kambi hiyo walioiweka huko, Taifa stars itacheza mechi dhidi ya Misri tarehe 12 ya mwezi ikiwa na hatua ya kutafuta nafasi ya kushiriki Afcon kwa mwaka wa 2017 licha ya timu ya taifa kutokufanya vizuri katika michuano mbalimbali balani Afrika bado imeendelea kutafuta nafasi ya kushiriki micjuano mbalimbali baada ya kufanya vibaya katika mashindano ya COSAFA yaliofanyika nchini Afrika ya kusini.
Wachezaji wa Taifa stars wakiwa mazoezini.
No comments:
Post a Comment