Sunday, June 7, 2015

Barcelona walivyosheherekea Treble.

Hivi ndivyo club ya barcelona waalivyo pokelewa na mashabiki wa timu hiyo baada kuweza kutwaa ubingwa wa balani ulaya kwa mwaka wa 2014/ 2015. kwa sasa barcelona imeza kuckukua mataji matatu ndani ya msimu mmoja ambapo wameweza kutwaa ubingwa wa ligi ya hispania (La liga) na pia wakachukua ubingwa wa kombe la mfalme ( Cop de ley) vilevile wameweza kuchukua ubingwa wa UEFA baada ya kuifunga Juventus mabo 3-1 na hivyo kufanya kuweza kubeba mataji matatu kwa msimu mmoja.

No comments:

Post a Comment